Twaweza.org

Watoto 43,000 hatarini kufa kwa utapiamlo

Kituo cha habari cha Twaweza, Uwazi kinafunua athari za utapiamlo kwa jamii hapa Tanzania. Twakimu zinaonyesha kuwa Utapiamlo ni miongoni mwa changamoto kubwa inayoikabili Tanzania. Kati ka muongo (miaka 10) uliopita, zaidi ya watoto 600,000 wenye umri chini ya miaka 5 wanakisiwa kufa kwa kukosa lishe ya kutosha. Mwaka 2010 pekee, watoto wengine 43,000 watafariki mapema kutokana na utapiamlo. Hii ni sawa na wastani wa mtoto mmoja kufa kati ka kila dakika 12. Fungua hapo chini kwa taarifa kamili.

Endelea kusoma:

Authors: Policy Forum

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri