Twaweza.org

Yanapotokea mambo ya kusisimua

Akiwasilisha maoni yake akiwa katika kituo cha Maendeleo ya Kimataifa huko Washington, Rakesh Rajani  anaonyesha “Kwanini Umiliki na Ujenzi wa Uwezo umeshindwa kufanya kazi: Mifano toka Afrika Mashariki” Antonio Lambino toka program ya Mawasiliano na Uwajibikaji anatoa hisia zake kuwa “Hapa ndipo mambo ya kusisimua yanapotokea!” Fuatilia habari hii (kiingereza) kwa kubonyeza hapa.

Endelea kusoma: Antonio Lambino

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri