Twaweza.org

Mpya

Uwazi

Soma machapisho yaliyotolewa na Uwazi na kusambazwa kama nakala za kawaida na nakala za mtandaoni.

< iliyopita 12345
35 makala
Sort by: Maoni |

Tamko kuhusu Marekebisho yanayopendekezwa kwenye Sheria ya Vyama vya Siasa

Sisi kama taasisi huru ya kiraia ambayo inalinda haki/kanuni za kidemokrasia, tungependa kutoa maoni na kupaza sauti yetu kwenye mjadala unaoendelea tukiwa na lengo la kutafuta njia bora ya kusonga mbele, ambayo italinda demokrasia yetu changa huku ikipatikana njia sahihi ya kusimamia usajili wa vyama vya siasa.

Hapa Usalama Tu | Usalama, haki na polisi nchini Tanzania

Kuna mtazamo wa jumla miongoni mwa wananchi kuwa usalama nchini umeimarika katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita kama inavyooneshwa na zaidi ya nusu ya wananchi hao (asilimia 53).

Matarajio na matokeo: Vipaumbele, utendaji na siasa nchini Tanzania

Asilimia 71 ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani. Kiwango hiki kimeshuka kutoka asilimia 96 mwezi Juni 2016.

Wananchi wanasemaje kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania?

Wananchi 7 kati ya 10 wangependa vyombo vya habari vitangaze maovu ya serikali ila 3 kati ya 10 wanahofia utoaji wa taarifa hizo utaathiri nchi.

Nyota njema huonekana asubuhi: Maoni ya wananchi kuhusu huduma za afya

Wananchi wanao ufahamu kuhusu ubora na upatikanaji wa huduma za afya pamoja na wahudumu wake ambao umeongezeka tangu 2015 kutokana na ripoti za wananchi.

Masuala ya Muungano: Maoni ya wananchi kuhusu kinachoendelea Zanzibar

Nusu ya wananchi wa Tanzania Bara hawafahamu kilichojiri Zanzibar tangu uchaguzi mkuu.

#BungeLive

Watanzania walio wengi (79%) hawakubaliani na maamuzi ya serikali ya kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kupitia runinga na redio.
< iliyopita 12345
35 makala
Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS