Je, Watanzania wanaionaje katiba?

Benki ya taarifa 22 Apr 2014 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Mjadala katika Bunge la Katiba umejaa na ubishi na mgawanyiko, lakini Watanzania wameungana kutaka katiba yenye uwajibikaji zaidi kwa viongozi wa umma na mfumo wa utawala wenye uwazi zaidi.

Endelea kusoma: katiba

pakua nyaraka

Tafsiri

1739 Maoni | Iliyowasilishwa na Risha Chande

unaweza pia kupenda...