Twaweza.org

Bei ya Maji Dar es salaam

Utafiti mpya uliofanywa na Uwazi-Twaweza unaonyesha kwamba bei ya maji inayotozwa katika magati ya maji Dar es Salaam ni zaidi ya bei rasmi ya shilingi 20 kwa lita 20 iliyoidhinishwa na na EWURA. Uchambuzi uliofanywa na Uwazi unaonyesha kwamba bei rasmi inapuuzwa na kwamba kaya hulipa hadi shilingi 200 kwa lita 20. Uchambuzi unaonyesha mapungufu makubwa katika usimamizi wa EWURA katika kuhakikisha kwamba maji safi bado yanapatikana kwa  bei nafuu kwa wote. Kusoma zaidi juu ya matokeo haya pakua hapa chini

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri