Twaweza.org

Je, wananchi wanaweza kufuatilia pesa zao?

Utafiti mpya uliofanywa na Uwazi na taasisi ya Kimataifa ya Ushirikiano wa Bajeti (IBP) inaonyesha kuwa nchi za Afrika Mashariki hazina uwazi wa kutosha linapokuja suala la kutoa taarifa juu ya bajeti zao kwa wananchi. Mfumo wa upimaji unaitwa ‘Utafiti wa uwazi katika Bajeti’ (OBS) unaonesha kukosekana kwa utashi wa kisiasa kama sababu kuu  ya mtanziko huu. Pale ambapo wananchi hawezi kufuatilia mtiririko wa bajeti, kunatoa mianya ya vitendo vya  rushwa na hivyo kutibua usimamiazi barabara wa bajeti  na utoaji wa huduma za msingii. Soma zaidi kuhusu ripoti hii (Kiingereza).

Endelea kusoma: Afrika mashariki

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri