Twaweza.org

Wabunge waongeaji Bungeni ndio hutetea viti vyao tena?

Uwazi iliyopo Twaweza imetoa muhtasari mpya wa sera unaoitwa, Nani amerudi? Utendaji katika bunge na uwezekano wa Wabunge kuchaguliwa mara nyingine. Muhtasari huu unaonesha kuwa Wabunge wa kawaida waliotetea viti vyao ni wale ambao walitoa michango mingi kuliko wenzao ambao hawakuchaguliwa tena mwaka 2010. Muhtasari huu umefanya uchambuzi wa taarifa zinazopatikana katika tovuti ya Bunge (www.bunge.go.tz). Soma muhtasari kamili hapa ufahamu vipengele sita kuhusu nini kinaongeza uwezekano wa mbunge kuchaguliwa.

Endelea kusoma:

Authors: Uwazi

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri