Twaweza.org

Uwezo

Soma machapisho yaliyotolewa na Uwezo na kusambazwa kama nakala za kawaida na nakala za mtandaoni.

< iliyopita 12
9 makala
Sort by: Maoni |

Programu ya Uwezo

Uwezo Yatoa Ripoti ya Afrika Mashariki

Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi

Mwaka uliopita, Uwezo ilifanya utafiti nchi nzima kupata picha halisi ya namna watoto wetu wanavyojifunza katika ngazi ya elimu ya msingi. Zaidi ya watoto 40,000 kutoka kaya 20,000 na wilaya 38 za Tanzania Bara walishiriki kwenye zoezi hilo. Huu ulikuwa ni utafiti mkubwa na wa aina yake nchini. Mwaka mmoja baadae... Nini kimebadilika? Je watoto wetu wanajifunza zaidi?

Je, watoto wetu wanajifunza?

Je Watoto Wetu Wanajifunza? Kuhesabu na Kusoma Katika Afrika Mashariki

Je, watoto wetu wanajifunza?

Licha ya matarijio kuwa watoto wote wa darasa la 3 wangeweza kusoma Kiswahili na Kiingereza, pamoja na kufanya hesabu rahisi za darasa la pili, ripoti mpya ya utafiti inaonesha kuwa ni wanafunzi wachache mno wenye uwezo huo.

Je, watoto wetu wanajifunza?

Baadhi ya watoto wa darasa la 7 hawawezi kufanya majaribio ya darasa la 2.
< iliyopita 12
9 makala
Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS

 

Tafsiri