Twaweza.org

Machapisho

Twaweza kupitia kituo chake cha habari,Uwazi inatoa machapisho mbalimbali kwa wananchi wa Afrika Mashariki na ulimwengu mzima ili waweze kujipatia taarifa za kuaminika na pasipo na gharama. Taarifa hizi ni mkusanyiko wa takwimu, ripoti, tafiti mbalimbaliza kisayansi na vielelezo vya sekta lengwa za Twaweza. Tutajitahidi kadiri iwezekanavyo kuzitoa katika lugha nyepesi . Tembelea kurasa hii kila wakati ujipatie mambo mapya.

< iliyopita 123...91011
76 makala
Sort by: Maoni |

Watoto wetu wanajifunza? Tathmini ya Uwezo Tanzania 2012

Wakati ambapo asilimia 100 ya watoto wa Darasa la 3 na kuendelea wanapaswa kuweza kusoma na kufanya hesabu za kiwango fulani, matokeo ya Uwezo yanaonyesha kwamba ni wachache tu ndiyo wanaoweza kufanya hivyo.

Uwezo Yatoa Ripoti ya Afrika Mashariki

Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi

Mwaka uliopita, Uwezo ilifanya utafiti nchi nzima kupata picha halisi ya namna watoto wetu wanavyojifunza katika ngazi ya elimu ya msingi. Zaidi ya watoto 40,000 kutoka kaya 20,000 na wilaya 38 za Tanzania Bara walishiriki kwenye zoezi hilo. Huu ulikuwa ni utafiti mkubwa na wa aina yake nchini. Mwaka mmoja baadae... Nini kimebadilika? Je watoto wetu wanajifunza zaidi?

Mimi ni Mwalimu | Kalenda 2014

Twaweza imechapisha kalenda ya mwaka 2014, mkazo ukiwa katika sekta ya elimu. Dhumuni kuu la kalenda hii ni kuwahamasisha walimu kwa kuwakumbusha umuhimu wa kazi yao na uwezo wao mkubwa katika kuijenga jamii.

Programu ya Uwezo

Je, watoto wetu wanajifunza?

Shule za Msingi mkoani Dar es Salaam:Msongamano wa wanafunzi bila vitabu vya kiada vya kutosha

< iliyopita 123...91011
76 makala
Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS

 

Tafsiri