Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

1234
23 makala
Sort by: Maoni |

Demokrasia, udikteta na maandamano

Benki ya taarifa 28 Sep 2016 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni ni vitu viwili vinavyothaminiwa sana na wananchi. Asilimia 95 ya wananchi wanauthamini uwezo wa kuikosoa serikali pale wanapoona imekosea. Na asilimia 69 wanakubali kuwa demokrasia ni mfumo bora wa utawala.

Rais wa watu?

Benki ya taarifa 14 Sep 2016 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Wananchi wanakubali hatua zinazochukuliwa na serikali mpya, hususani kuhusu uondoaji wa wafanyakazi hewa, sera ya elimu bure na usimamishwaji wa watumishi wa serikali kutokana na makosa mbalimbali. Lakini hawakubaliani na kuzuiwa uagizwaji wa sukari pamoja na bei elekezi ya sukari.

Masuala ya Muungano

Benki ya taarifa 5 Jul 2016 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Maoni ya wananchi kuhusu kinachoendelea Zanzibar

#BungeLive

Benki ya taarifa 15 Jun 2016 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Watanzania walio wengi (79%) hawakubaliani na maamuzi ya serikali ya kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kupitia runinga na redio.

Mwangaza

Benki ya taarifa 27 Apr 2016 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Maoni ya wananchi kuhusu haki ya kupata habari.

Sema mwananchi, sema

Benki ya taarifa 22 Sep 2015 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Maoni ya wananchi kuhusu siasa na Uchaguzi 2015.

Je, wajua?

Benki ya taarifa 2 Sep 2015 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Asilimia 46 ya wananchi wameripoti kuwa sera ndio kigezo muhimu watakachokitumia kumchagua Rais. Vigezo vingine vilivyotajwa na wananchi wengi ni uadilifu na maadili (17%).

1234
23 makala
Sort by: Maoni |