Twaweza.org

Matangazo

Pata habari mpya mpya na matangazo mbalimbali hapa:

Sort by: Maoni |

Serikali na wadau wa Elimu nchini tushirikiane kuboresha matokeo ya kujifunza

Elimu aipatayo mtoto anayesoma shule ya Msingi au sekondari ya umma iliyoko kijijini si sawa na ya yule anayesoma katika darasa hilo hilo kwenye shule ya mjini.

Sauti Za Wananchi | Siyo kwa kiasi hicho?

Sauti za Wananchi inazindua takwimu mpya kabisa zenye uwakilishi wa kitaifa kuhusu maoni ya watanzania juu ya upatikanaji wa taarifa na mijadala.

Uwezo Tanzania | Ukosefu wa usawa katika elimu

Asilimia 64 ya watoto mkoani Dar es Salaam wenye miaka 9 hadi 13 wana uwezo wa kufaulu majaribio yote matatu, lakini mkoani Katavi, ni asilimia 23 tu ya watoto wanaoweza kufaulu majaribio hayo.

Tunatafuta kazi za sanaa: Mashindano ya Sanaa - Demokrasia na Sanaa

Twaweza kwa ushirikiano na Nafasi Art Space wanafuraha ya kukutangazia Mashindano ya Sanaa pamoja na Maonyesho yatakayo ambatana na majadiliano ya wazi ya demokrasia.

Wadau waitaka serikali kutekeleza Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa

Jamii bora ni ile inayoendesha shughuli zake kwa uwazi, ushirikishwaji na uwajibikaji; na yenye mifumo ya kuwapatia wananchi taarifa kwa uharaka.

#ArudiShuleni

Kwa mujibu wa utafiti wa Sauti za Wananchi (2016) asilimia 71 ya watanzania wanasema wasichana wapewe fursa ya kurudi shuleni kuendelea na masomo baada ya kujifungua.

Iambie serikali unataka ikufanyie nini!

Tanzania ni moja kati ya nchi 63 zinazotekeleza Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership) Serikali iko katika mkakati wa kutafuta maoni juu ya Mpango Kazi huu wa awamu ya tatu.
Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS

 

Tafsiri

wanaohusishwa