Twaweza.org

Matangazo

Pata habari mpya mpya na matangazo mbalimbali hapa:

Sort by: Maoni |

Taarifa juu ya midahalo ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kumekuwepo juhudi za asasi za kiraia na vyombo vya habari kuandaa midahalo ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mdahalo wa Uchaguzi Mkikimkiki 2015 wazinduliwa

Twaweza inatangaza uzinduzi wa midahalo iitwayo Mkikimkiki 2015. Midahalo hii imeanzishwa ili kutoa fursa na jukwaa kwa vyama vya siasa kunadi sera zao kwa wananchi.

Sauti za Wananchi Uzinduzi | Kuelekea 2015

Wananchi watoa maoni yao na matakwa yao juu ya uongozi wa kisiasa nchini

Je, kuna usawa Afrika Mashariki? Au la?

Kuna usawa Africa Mashariki? Au la?
Ben Taylor wa Twaweza, ametengeneza video kwa ajili ya blogu yake, (mtega.com), kuhusu utajiri, umaskini na usawa ndani ya Kenya, Tanzania na Uganda. Ujumbe wake ni mzito:
Utajiri wa 1% ya watu wa Afrika Mashariki (waliotajirika zaidi) uko sawa na utajiri wa asilimia 91% ya watu (wenye umaskini zaidi).
Mabilionea 6 tu wana utajiri ulio sawa na nusu ya watu wa Afrika Mashariki (watu milioni 66)

Vijana wenye kipaji cha zana za teknolojia waweka takwimu za elimu wazi

Mkutano wa Ushirika wa Uendeshaji wa Serikali kwa Uwazi (OGP) umezinduliwa rasmi jijini London, Uingereza, na mwaliko wa kuhudhiria katika mkutano huu umemfikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete. Umoja wa vijana nchini wakitumia fursa ya mkutano huu, wakiwa wataalamu wa zana za teknolojia, wamezindua wavuti uitwao shule.info ili kuonyesha umuhimu wa takwimu zilizo wazi.

Watafiti wa kujitolea elfu nane kutathmini watoto Tanzania Bara

Jumla ya watafiti wa kujitolea 7,980 wanashiriki katika Tathmini ya Uwezo katika wilaya 133 za Tanzania Bara.

Ufafanuzi kuhusu Matokeo ya Kidato cha Nne

Kwa wiki kadhaa, Twaweza na Mkuu wa shirika letu, Rakesh Rajani, tumepokea maombi mengi ya kutaka ufafanuzi kuhusiana na Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne 2012, na juu ya uamuzi wa Serikali kupanga upya matokeo hayo.
Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS

 

Tafsiri

wanaohusishwa