Twaweza.org

Machapisho

Twaweza kupitia kituo chake cha habari,Uwazi inatoa machapisho mbalimbali kwa wananchi wa Afrika Mashariki na ulimwengu mzima ili waweze kujipatia taarifa za kuaminika na pasipo na gharama. Taarifa hizi ni mkusanyiko wa takwimu, ripoti, tafiti mbalimbaliza kisayansi na vielelezo vya sekta lengwa za Twaweza. Tutajitahidi kadiri iwezekanavyo kuzitoa katika lugha nyepesi . Tembelea kurasa hii kila wakati ujipatie mambo mapya.

Sort by: Maoni |

Dar es Salaam wanachukuliaje utawala?

Wakazi wa Dar es Salaam hawaridhishwi na hali ya utoaji wa huduma, hawana imani na taasisi za umma na hawazielewi vizuri sera. Wapo walioripoti kuchukua hatua ili kubadili hali zao.

Wakazi wa Dar wanasemaji kuhusu afya?

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Uwazi iliyoko Twaweza umebaini matokeo mchanganyiko katika suala la utoaji wa huduma ya afya kwa wakazi wa Dar es Salaam.

Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi

Mwaka uliopita, Uwezo ilifanya utafiti nchi nzima kupata picha halisi ya namna watoto wetu wanavyojifunza katika ngazi ya elimu ya msingi. Zaidi ya watoto 40,000 kutoka kaya 20,000 na wilaya 38 za Tanzania Bara walishiriki kwenye zoezi hilo. Huu ulikuwa ni utafiti mkubwa na wa aina yake nchini. Mwaka mmoja baadae... Nini kimebadilika? Je watoto wetu wanajifunza zaidi?

Je Watoto Wetu Wanajifunza? Kuhesabu na Kusoma Katika Afrika Mashariki

Uwezo Yatoa Ripoti ya Afrika Mashariki

Shule za msingi za Serikali Dar es Salaam:Vyoo vibovu, michezo kidogo.

Shule za Msingi mkoani Dar es Salaam:Msongamano wa wanafunzi bila vitabu vya kiada vya kutosha

Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS

 

Tafsiri