Twaweza.org

Mpya

Kiongozi Asiyewajibika tufanyeje?

Ukizingatia uchaguzi ulioko mbele yetu, ungependa kiongozi wako awe na sifa gani? Namna gani ungependa madadiliko yatokee katika maisha yako binafsi, familia na marafiki? Upatikanaji wa huduma za jamii je? Unafahamu kiongozi unamchagua anapaswa awe mtumishi wa wananchi? Na baada ya uchaguzi, namna gani utaweza kufanya kuhakikisha anawajibika kwa wapiga kura wake? Kijitabu hiki kimeainisha mengi katika mambo haya. Kimeandaliwa kwa ushirikiano na mashirika ya dini hapa Tanzania. Kujisomea hadithi hii, bonyeza hapa.

Endelea kusoma:

Kuhusu mtunzi

unaweza pia kupenda...