Wananchi wanataja uchumi kuwa ni tatizo kubwa zaidi linalosumbua kaya zao
Matatizo makubwa matatu yaliyotajwa kuwasumbua zaidi wananchi kwenye kaya zao yote ni matatizo ya kiuchumi. Kati ya hayo, tatizo kubwa zaidi ni kupanda kwa bei za bidhaa na gharama za maisha (48%).
Read More