Nusu ya waandishi wa habari nchini Tanzania wameripoti kutishwa au kunyanyaswa wakiwa kazini
Nusu (50%) ya waandishi wa habari nchini Tanzania wameripoti kukumbana na vitisho, manyanyaso, mateso au kushambuliwa katika kazi zao. Wawili kati ya kumi (22%) wamekamatwa au kuzuiliwa na mamlaka, na idadi sawa na hiyo wamekumbana na unyanyasaji wa kijinsia (20%) au kunyang’anywa vifaa vyao vya kazi (20%).
Read More