Sauti za Walimu na Wanafunzi: Muhtasari wa utafiti wa KiuFunza
Wanafunzi wachache (karibu asilimia 20) wanaridhika na kuhitimu elimu ya msingi pekee.Takriban asilimia 40 ya wasichana na wavulana wangependa kuhitimu elimu ya sekondari, na karibu mwanafunzi mmoja kati ya watatu angependa kumaliza chuo kikuu.
Read More