Twaweza.org

Je, watoto wetu wanajifunza?

Kama mzazi utajisikiaje unapogundua mtoto wako wa darasa la saba  hawezi kusoma Kiswahili cha darasa la pili? Utapokeaje taarifa hii kuwa nusu ya watoto wanaomaliza shule ya msingi hawawezi kusoma kwa kiingereza hata kidogo? Ung’amuzi huu na mabainisho muhimu yaliwasilishwa na Uwezo Tanzania katika utafiti wao wa ‘Uwezo wa watoto kusoma na kuhesabu Tanzania 2010. Uzinduzi wa ripoti hii ulifanyika tarehe 21 Septemba, 2010. Utafiti huu ulipima ustadi wa kusoma na kuhesabu kwa zaidi ya watoto 40,000 kutoka kaya 20,000—ukiwa utafiti mkubwa wa aina yake. Matokeo muhimu na mapendekezo ya msingi ya ripoti hii yanaweza kupakuliwa hapa chini:

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri