Kuinua ubora wa elimu ya sekondari: Je, fedha zinafika shuleni?
Asilimia 93 ya shule zilizofanyiwa utafiti ziliarifu kwamba hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2011 hazikuwa zimepokea fedha za ruzuku.
Read MoreAsilimia 93 ya shule zilizofanyiwa utafiti ziliarifu kwamba hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2011 hazikuwa zimepokea fedha za ruzuku.
Read MoreMsongamano wa wanafunzi madarasani ni mkubwa katika shule nyingi, kukiwa na wastani wa wanafunzi 81 katika darasa moja.
Read MoreWalimu wengi hawajui shule zao zinapaswa kupokea kiasi gani cha ruzuku ya elimu
Read MoreMatumizi ya serikali kwa mwanafunzi mmoja yameongezeka kwa asilimia 70 tangu kuanzishwa kwa elimu ya msingi bure mwaka 2001.
Read More