Wananchi na viongozi wa kijamii huko Pangani wanafanya kazi pamoja kuleta mabadiliko
Twaweza inafanya kazi na Pangani Coast Paralegal (PACOPA), mamlaka ya serikali za mitaa na wakazi wa Pangani kuboresha ushirikiano kati ya wananchi na mamlaka mbalimbali ili kwa pamoja waweze kuboresha huduma, kuimarisha uwezo wa serikali za mitaa na kuboresha ushiriki wa wananchi.
Read More