Wananchi 6 kati ya 10 wanasema uhuru wa vyama vya upinzani, asasi za kiraia na vyombo vya habari umepungua ndani ya kipindi cha miaka mitatu iliyopita
Wanapotathmini viashiria mbalimbali vya demokrasia, wananchi wengi wanasema uhuru umepungua katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita
Read More