Wasanii wataka mgao wa mirabaha uwe wa haki na kwa mujibu wa sheria
Mtandao wa Sekta ya Ubunifu Tanzania Ujulikanao kama “The Creative Industry Network Tanzania(CINT), kwa kushirikiana na Twaweza, wanatoa wito kwa serikali na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA kuangalia upya utaratibu wao wa kugawa mirabaha kwa wasanii.
Read More