KiuFunza: Malipo ya walimu kulingana na utendaji
Mfumo wa KiuFunza unawalenga walimu wa Darasa la I, II na III, kwa sababu walimu hawa ndio wenye wajibu wa kufundisha KKK na wana madarasa yenye wanafunzi wengi zaidi.
Read MoreMfumo wa KiuFunza unawalenga walimu wa Darasa la I, II na III, kwa sababu walimu hawa ndio wenye wajibu wa kufundisha KKK na wana madarasa yenye wanafunzi wengi zaidi.
Read MoreKiuFunza is an intervention in which bonus payments to teachers based on student learning have been systematically tested since 2013 in order to inform government policy. KiuFunza has had three phases so far, each time incorporating new elements to develop the most cost effective, impactful intervention possible.
Read MoreKiuFunza ni mpango unaotoa bakshishi kwa walimu kulingana na matokeo ya ujifunzaji wa wanafunzi wao. Mpango huu umefanyiwa majaribio makini tangu mwaka 2013 ili kuzitaarifu sera za serikali. KiuFunza imepitia awamu tatu hadi sasa, kila awamu imekuwa ikibuni vipengele vipya ili kuboresha utekelezaji wake na matokeo yanayopatikana.
Read MoreKwa kutumia mbinu inayojulikana kama uraghbishi, Twaweza na KASODEFO zilifanya kazi ya kuwabaini na kutoa mafunzo kwa mawakala wa mabadiliko ya jamii, kufanya utafiti shirikishi na makundi mbalimbali ndani ya jamii, kuandaa na kutekeleza mipangokazi ya pamoja kuyashughulikia masuala yaliyoibuliwa.
Read More