Wananchi na Viongozi Wilayani Maswa wanashirikiana kuleta mabadiliko
Kwa kutumia mbinu inayojulikana kama uraghbishi, Twaweza na KASODEFO zilifanya kazi ya kuwabaini na kutoa mafunzo kwa mawakala wa mabadiliko ya jamii, kufanya utafiti shirikishi na makundi mbalimbali ndani ya jamii, kuandaa na kutekeleza mipangokazi ya pamoja kuyashughulikia masuala yaliyoibuliwa.
Read More