Upatikanaji wa huduma za afya na wahudumu wake umeongezeka tangu 2015 kutokana na ripoti za wananchi
Ni asilimia 18 wananchi wanaoripoti kuona upungufu wa madaktari katika vituo vya afya miezi mitatu iliyopita, ukilinganisha na asilimia 43 walioliona tatizo hili mwaka 2015
Read More