Wananchi 8 kati ya 10 wanapinga uamuzi wa serikali wa kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge
Wananchi 8 kati ya 10 wanapinga uamuzi wa serikali wa kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge; wananchi 9 kati ya 10 wanasema gharama za kuyarusha matangazo hayo si hoja
Read More