Maoni ya wananchi kuhusu siasa
Afya, maji na elimu ndio changamoto kuu kwa wananchi
Read MoreWatu 6 kati ya 10 walitaja afya (59%) kuwa ni miongoni mwa matatizo matatu makuu na ukosefu wa maji (46%), elimu duni (44%)
Read MoreAsilimia 51 wana imani na uwezo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa haki.
Read MoreWananchi watazingatia zaidi sera wakati wa kuchamgua Rais.
Read More