Wananchi waunga mkono ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wengi wamependelea visa ya pekee ya utalii, uwezo wa kusafiri ndani ya kanda kwa kitambulisho cha taifa, miundombinu ya pamoja na uhuru wa kufanya kazi popote ndani ya Jumuiya
Read More