Wananchi wengi wanatumia vituo vya afya vya serikali na husubiri chini ya saa moja kumuona daktari
Wananchi wanapopata majeraha ama kuugua, 6 kati ya 10 (61%) huendakatika kituo cha afya cha serikali. Kiwango hiki kimeongezeka kutoka 45% mwaka 2014.
Read More