Uwezo Tanzania 2015: Watoto 3 tu kati ya 10 wa darasa la 3 ndio uwezo wa kufaulu mtihani wa darasa la 2
Wilaya ya Mbeya mjini inoongoza kwa ufaulu. Watoto 3 kati ya 4 (wenye miaka 9-13) wa wilaya hiyo wana uwezo stahiki wa kusoma na kuhesabu
Read More