Wananchi wanajitahidi kutafuta njia mbadala za kujipatia dawa wanazohitaji
Kukosekana kwa dawa kunatajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makuu kwenye utoaji huduma bora, ikiwa asilimia 69 ya wahudumu wa vituo vya afya wakilitaja kuwa ndilo tatizo kuu kwao
Read More