Sauti za Waandishi
Muhtasari huu unawasilisha takwimu kuhusu uzoefu na maoni ya waandishi wa habari wa Tanzania. Maoni haya yalikusanywa kutoka kwa waandishi wa habari, wahariri na wanablogu 1,202.
Read MoreMuhtasari huu unawasilisha takwimu kuhusu uzoefu na maoni ya waandishi wa habari wa Tanzania. Maoni haya yalikusanywa kutoka kwa waandishi wa habari, wahariri na wanablogu 1,202.
Read MoreHalf (50%) of journalists in Tanzania report that they have been threatened, harassed or assaulted at some time. Two out of ten (22%) have been arrested or detained by the authorities, and similar numbers have experienced sexual harassment or abuse (20%) or have had equipment or materials seized from them (20%).
Read MoreThis brief presents findings from a survey of 1,202 practising journalists, editors and bloggers in Tanzania. Interviews were conducted by telephone between September 23 and November 7, 2023.
Read MoreNusu (50%) ya waandishi wa habari nchini Tanzania wameripoti kukumbana na vitisho, manyanyaso, mateso au kushambuliwa katika kazi zao. Wawili kati ya kumi (22%) wamekamatwa au kuzuiliwa na mamlaka, na idadi sawa na hiyo wamekumbana na unyanyasaji wa kijinsia (20%) au kunyang’anywa vifaa vyao vya kazi (20%).
Read More