Read More
0 Comment
406 Views

Mpango wa motisha kwa walimu umesaidia wanafunzi zaidi ya 26,000 kuboresha ujuzi wa Kiswahili na Hesabu

KiuFunza ni mpango unaotoa bakshishi kwa walimu kulingana na matokeo ya ujifunzaji wa wanafunzi wao. Mpango huu umefanyiwa majaribio makini tangu mwaka 2013 ili kuzitaarifu sera za serikali. KiuFunza imepitia awamu tatu hadi sasa, kila awamu imekuwa ikibuni vipengele vipya ili kuboresha utekelezaji wake na matokeo yanayopatikana.

Read More