91% ya wananchi wanadhani kabla ya serikali kulifungia gazeti, gazeti hilo lipate nafasi ya kutetewa mahakamani
Wananchi wanaunga mkono haki ya kupata habari, ambapo wananchi 8 kati ya 10 wanasema hatua hiyo inaweza kupunguza vitendo viovu na rushwa.
Read More