Wananchi wanakubali hatua zinazochukuliwa na serikali mpya
Wananchi wanakubali hatua zinazochukuliwa na serikali mpya, hususani kuhusu uondoaji wa wafanyakazi hewa, sera ya elimu bure na usimamishwaji wa watumishi wa serikali kutokana na makosa mbalimbali.
Read More