Kuongeza fedha pekee hakusaidii kumaliza tatizo la uhaba wa dawa
Licha ya ukosefu wa fedha za kutosha katika sekta ya afya, tatizo la kuisha kwa akiba ya dawa katika vituo vya afya halitotatuliwa kwa kuongeza rasilimali peke yake
Read MoreLicha ya ukosefu wa fedha za kutosha katika sekta ya afya, tatizo la kuisha kwa akiba ya dawa katika vituo vya afya halitotatuliwa kwa kuongeza rasilimali peke yake
Read MoreTunahitaji kuelewa vizuri kwanini akiba ya dawa inaendelea kupungua na kubainisha ni sababu zipi za msingi zinazofanya mageuzi ya hivi karibuni yasifanikiwe.
Read MoreNi mtu 1 tu kati ya watu 20 (6%) mwenye umri zaidi ya miaka 60 na ni mtoto 1 kati ya 5 (18%) mwenye umri chini ya miaka mitano ambao hupata huduma na matibabu bure katika vituo vya afya
Read MoreNi mtu 1 tu kati ya watu 20 (6%) mwenye umri zaidi ya miaka 60 na ni mtoto 1 kati ya 5 (18%) mwenye umri chini ya miaka mitano ambao hupata huduma na matibabu bure katika vituo vya afya.
Read More